zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Tujaribu kitu hapa. Kama kamchezo flani nahisi mtakapenda baadae
DO YOU ACCEPT THE CHALLENGE?
Kuwe na timu mbili timu moja ichague kiingereza timu nyingine ichague Kiswahili.
Then mtakuwa mnaflow kwenye comments kisha tuone wapi watavutia na wapi watafail kabisa..
Mimi team English...Ila msicheke kiko Broken
Let's go
Hapa najua ladies wengi watachagua kiingereza na gents watachagua kiswahili