Mtazamaji,
mkianza hiyo project itakuwa let us say ktk server fulani. Lakini kila mtu atakuwa na part yake ambayo each time ana modify au kuongeza feature.
Sasa ili kufanya sync na mmoja sioverwrite changes za mwingine na kudocument each chane na pia kuweza ku fall back to previous version in case of bug, unahitaji version control. Sasa zipo nyingi kama cvs, svn na mercurial. Svn na mercurial zinatumika sana kwa project collaboration. Sourceforge ni project hosting servers kwa ajili ya open source projects. Wanayo integrated svn service ingawa mnaweza set up your own.
Sijui kama nimeeleweka au ndio nimejichanganya!