Lewinsky: Najuta kuwa na rais Bill Clinton kwenye mapenzi

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Je unamkumbuka Monica Lewinsky mwanamke aliyawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa Rais wa Marekani Bill Clinton na kusababisha Rais kupigiwa kura ya turufu ya kutaka kumwondoa mamlakani?

Taarifa zinazohusiana Marekani Wakati wa uhusiano huo Lewisnky alikuwa na umri wa miaka 20. Alikuja katika Ikulu ya White house kupata ujuzi wa kikazi. Lewinsky akiwa na umri wa miaka 40 sasa amevunja kimya chake. Katika kusimulia yaliyotokea ndani ya Jarida la Vanity nchini Marekani, Lewinsky amesema anajuta sana kuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Bwana Clinton.

Rais ''alinidhulumu,'' anasema Lewinsky ingawa amesema hakuna aliyemlazimisha kuwa na uhusiano na Clinton kwani wote wawili walikuwa wamekubaliana.Mnamo mwaka 1998, wanachama wa Republican walishindwa kumwondoa mamlakani Clinton kwa misingi kuwa alidanganya kuhusu uhusiano huo.Swala la Lewisnky limeibuka tena hasa kwa sababu Bi Hillary Clinton anataka kuwania Urais mwaka 2016 na wanarepublican wanataka kulitumia swala hilo dhidi ya azma yake.

Bi Lewinsky amesema anatumai kuliondoa madoa jina lake na kwamba anaelewa bado anatambulika sana katika sekta ya utumbuizaji nchini Marekani hususan katika vyombo vya habari na magazetini.Lewinsky anasema Bwana Clinton alimdhulumuAmesema katika jarida hilo kuwa:"mimi mwenyewe ninajuta sana kwa kilichotokea kati yangu na aliyekuwa Rais clinton.''"acha nirejelee hilo, ninajutia sana kwa kilichotokea.''Bi Lewinsky alipata masaibu punde baada ya taaifa ya uhusiano wake na Clinton kutokea mwaka 1998 , anasema alidharauliwa na kuchukiwa na pia alitumiwa kama kisingizio ili Rais wakati huo aweze kulindwa.

Serikali ya Clinton , washirika wake na vyombo vya habari viliniona mimi kama adui mkubwa, na imesalia kuwa hivyo kwa sababu ya mamlaka iliyokuwepo''Tangu kuacha kazi hiyo, Be Lweinsky amekuwa aliwahi kutengeza vibeti na kisha kuwa na kipidni cha kuwakutanisha wapenzi kaatika televisheni.Bi Lewinsky anasema sababu kuu ya kuvunja kimya chake ni kutaka kijireshea hadhi yake na kuweka katika kaburi ya sahau yote yaliyotokea maishani mwake wakati huo.

Labda kwa kuandika kisa changu, ninahisi kama ninaweza kuwasaidia wenzangu wanaopitia katika hali sawa na iliyonikumba hasa ya kudharauliwa

Source: BBC
 
Hana lolote. Ameona umaarufu umefifia so ameamua kulianzisha ili akamate headlines tena. Sasa atatumiwa na wabaya wa Hillary ili kumharibia. Hata hivyo sidhani kama watafanikiwa.
 
Alimdhurumu alikopwa ninii stak kuamini bill clinton alimkopa huyu ndio maana analalamikaa hakupewa jumba huyuu
 
Michepuko ya magogoni inakaa wapi na yenyewe ikajitangaze?
 
Alimdhurumu alikopwa ninii stak kuamini bill clinton alimkopa huyu ndio maana analalamikaa hakupewa jumba huyuu

kweli dinazarde unataka kuniambia hujui huyu alidhulumiwa nini? alikopwa alafu hakulipwa
 
kweli dinazarde unataka kuniambia hujui huyu alidhulumiwa nini? alikopwa alafu hakulipwa

Itakuaa hili ni janga la taifaa aisee hadi raisi anakopa je wakapuku wafanyejee
 
Alimdhurumu alikopwa ninii stak kuamini bill clinton alimkopa huyu ndio maana analalamikaa hakupewa jumba huyuu

Hivi obama ye sio mkopaji?nijiwahishe kwake anikope mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…