Lewis Hamilton huenda akashinda kesho Mexico Grand Prix

Lewis Hamilton huenda akashinda kesho Mexico Grand Prix

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka Wanajamvi!

Katika hatua za kufuzu Lewis Hemilton aneshika nafasi ya kwanza first spot au first pole leo kwenye Mexican Grand Prix.

Hii itampa uwezekano wa kuibuka mshindi kesho, baada ya mashindano mengi.

Hamilton kapitia kipindi kigunu sana hasa kisaikolojia baada ya kupitia ubaguzi wa rangi.

Kesho akishinda (kwasababu sasa hivi mexico bado jmosi) tunafurahiiii sana.

000-9rn47f-1.jpg
 
Jumamosi tutaawaachia ila Jumapili ni ya Mad Max,

Go Verstappen
Go Redbull
 
Back
Top Bottom