M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Oct 30, 2022 #1 Mzuka Wanajamvi! Katika hatua za kufuzu Lewis Hemilton aneshika nafasi ya kwanza first spot au first pole leo kwenye Mexican Grand Prix. Hii itampa uwezekano wa kuibuka mshindi kesho, baada ya mashindano mengi. Hamilton kapitia kipindi kigunu sana hasa kisaikolojia baada ya kupitia ubaguzi wa rangi. Kesho akishinda (kwasababu sasa hivi mexico bado jmosi) tunafurahiiii sana.
Mzuka Wanajamvi! Katika hatua za kufuzu Lewis Hemilton aneshika nafasi ya kwanza first spot au first pole leo kwenye Mexican Grand Prix. Hii itampa uwezekano wa kuibuka mshindi kesho, baada ya mashindano mengi. Hamilton kapitia kipindi kigunu sana hasa kisaikolojia baada ya kupitia ubaguzi wa rangi. Kesho akishinda (kwasababu sasa hivi mexico bado jmosi) tunafurahiiii sana.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Oct 30, 2022 #2 Jumamosi tutaawaachia ila Jumapili ni ya Mad Max, Go Verstappen Go Redbull
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Oct 30, 2022 Thread starter #3 Mad Max said: Jumamosi tutaawaachia ila Jumapili ni ya Mad Max, Go Verstappen Go Redbull Click to expand... Mabaguzi
Mad Max said: Jumamosi tutaawaachia ila Jumapili ni ya Mad Max, Go Verstappen Go Redbull Click to expand... Mabaguzi