MWANA WA UFALME
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 578
- 144
kitendo cha jaji lewis makame jana kutangaza kwenye mkutano wa wadau wa uchaguzi kule arusha kuwa hata wakala asipotia saini form za uchaguzi hakutabadili lolote kinanitia shaka.
Najiuliza kuna umuhimu gani wa tume kutoa form za kusaini kama hata usipotia saini haina shida.
Hatari iliyopo ni kuwa hata wakileta kura za wizi na wakala akaziona akakataa kutia saini then haitakuwa na shida kumpitisha mgombea ambaye hakushinda,
nachelea kusema kwamba huyu bwana naye ni kibaraka na anataka kuwaandaa mawakala wakubaliane na chochote maana hata wasipokubali haibadili kitu.