Duh achana na Y62....nilishuhudia ikiigaragaza VXR nikanyoosha mikono!Nasikia wanasema ingawaje hio ingine ni kubwa haipo efficient kama Ile ya nissan patrol y62
Fuel consumption imezidiwa, horsepower imezidiwa , speed pia
View attachment 1948573View attachment 1948574
Kama Y62 ilikuwa ni mashine ya 5.7lt na VXR ya diesel, hakuna namna VXR inaweza kuikaribia Y62.Duh achana na Y62....nilishuhudia ikiigaragaza VXR nikanyoosha mikono!
Of coz, Y62 petrol V8 5.7! VXR alijichanganya hakujua Y62 ni nini.Kama Y62 ilikuwa ni mashine ya 5.7lt na VXR ya diesel, hakuna namna VXR inaweza kuikaribia Y62.
Labda zikutane Y62 na Cruiser au Lexus yenye 5.7
Zote za petrol but y62 Ina cc5600 while lx 570 inajieleza ni cc 5700Of coz, Y62 petrol V8 5.7! VXR alijichanganya hakujua Y62 ni nini.
LX lazima ikae, haina balance kama Y62. Kati hizo mbili I'll go for Y62!Zote za petrol but y62 Ina cc5600 while lx 570 inajieleza ni cc 5700
Labda aliona mabox yamefanana akajua wanalinganaOf coz, Y62 petrol V8 5.7! VXR alijichanganya hakujua Y62 ni nini.