Lexus lx570 vs toyota landcruiser v8

Lexus lx570 vs toyota landcruiser v8

DOCTOR UZI

Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
99
Reaction score
79
Wakuu niaje

Asee moja kwa moja kwenye mada kibongo bongo ukimuona v8 cruiser unaiheshimu ila kuna huyu mnyama lexus lx570 ni wa moto sana kwanzia interior and exterior design.

Kuhusu hp performace mnyama lexus wa moto pia mjapan toyo ana 381hp huku mnyama lexi cute ni 383hp. Picha hapo chini tufanye uamuzi sahihi tukiuza crown zetu tukitaka kuamia kwenye suv
toyota-land-cruiser-200-v8-d-executive-lounge.jpg
2017_lexus_lx_570_4wd-pic-4023011826659469491-1600x1200.jpeg
 
Extrovert

Bado hapa.. hizo zingine hata zije na mbwe mbwe gani, hii gari kama nimelogewa vile.. Boss wangu wangu wa kwanza, alikuwa akimiliki hii pale zilipotoka . Na ndio ikanipa machungu ya kuacha kazi na kufight mwenyewe..

images (1).jpeg
 
Hizo gari ni za mtengenezaji mmoja ila Lexus inakuwa na vikolombezo vya nje tu. Toyota alitengeneza Lexus ili kukamata soko la Marekani. Perfomance ya hizo gari ni sawa tu. Ukienda Dubai utakuta wanabadilisha muonekano wa V-8 inakuwa kama hiyo Lexus tu
 
Extrovert

Bado hapa.. hizo zingine hata zije na mbwe mbwe gani, hii gari kama nimelogewa vile.. Boss wangu wangu wa kwanza, alikuwa akimiliki hii pale zilipotoka . Na ndio ikanipa machungu ya kuacha kazi na kufight mwenyewe..

View attachment 1565798
My dreamcar,hii gari hasa model hii ya Sport za 2006 mpaka 2008 hunielezi kitu nazikubali sana...
 
WAKUU NIAJE
ASEE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA KIBONGO BONGO UKIMUONA V8 CRUISER UNAIHESHIMU ILA KUNA HUYU MNYAMA LEXUS LX570 NI WA MOTO SANA KWANZIA INTERIOR AND EXTERIOR DESIGN. KUHUSU HP PERFORMACE MNYAMA LEXUS WA MOTO PIA MJAPAN TOYO ANA 381HP HUKU MNYAMA LEXI CUTE NI 383HP. PICHA HAPO CHINI TUFANYE UAMUZI SAHIHI TUKIUZA CROWN ZETU TUKITAKA KUAMIA KWENYE SUV
Hii LC iko handsome,.ila kwa HP za Land Cruiser zinazoendeshwa nchini nyingi ni 220HP zile za 1VD-FTV Turbo diesel V8
 
WAKUU NIAJE
ASEE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA KIBONGO BONGO UKIMUONA V8 CRUISER UNAIHESHIMU ILA KUNA HUYU MNYAMA LEXUS LX570 NI WA MOTO SANA KWANZIA INTERIOR AND EXTERIOR DESIGN. KUHUSU HP PERFORMACE MNYAMA LEXUS WA MOTO PIA MJAPAN TOYO ANA 381HP HUKU MNYAMA LEXI CUTE NI 383HP. PICHA HAPO CHINI TUFANYE UAMUZI SAHIHI TUKIUZA CROWN ZETU TUKITAKA KUAMIA KWENYE SUV

Maandishi yako yanaonesha ni kama unahisi hizo gari ni kampuni tofauti

Lexus ni luxury version ya gari za toyota

Kama ilivo lexus IS 200 na altezza
Lexus rx 350 na harrier

Nk
 
Back
Top Bottom