DOCTOR UZI
Member
- Apr 28, 2020
- 99
- 79
Hio gari ina nini kwani mkuu π€£π€£π€£Extrovert
Bado hapa.. hizo zingine hata zije na mbwe mbwe gani, hii gari kama nimelogewa vile.. Boss wangu wangu wa kwanza, alikuwa akimiliki hii pale zilipotoka . Na ndio ikanipa machungu ya kuacha kazi na kufight mwenyewe..
View attachment 1565798
Hii gari ninacho ipendea ni kitu kimoja tu.. Body design yake tu ( shape yake ).Hio gari ina nini kwani mkuu π€£π€£π€£
hahah sasa ile new model sindio mkasi sanaHii gari ninacho ipendea ni kitu kimoja tu.. Body design yake tu ( shape yake ).
Hivi mkuu LEXUS LX570 mpya ni sh ngapi?
My dreamcar,hii gari hasa model hii ya Sport za 2006 mpaka 2008 hunielezi kitu nazikubali sana...Extrovert
Bado hapa.. hizo zingine hata zije na mbwe mbwe gani, hii gari kama nimelogewa vile.. Boss wangu wangu wa kwanza, alikuwa akimiliki hii pale zilipotoka . Na ndio ikanipa machungu ya kuacha kazi na kufight mwenyewe..
View attachment 1565798
My dream car my foot! Tafuta hela wewe acha manenoMy dreamcar,hii gari hasa model hii ya Sport za 2006 mpaka 2008 hunielezi kitu nazikubali sana...
Mie moyo wangu ume stuck hapa hapa aisee.. new model ya mwaka gani ?hahah sasa ile new model sindio mkasi sana
Ni kama mie mkuu, hii piga garagaza huniambii kitu kwenye hii machineMy dreamcar,hii gari hasa model hii ya Sport za 2006 mpaka 2008 hunielezi kitu nazikubali sana...
2020 ile SVRMie moyo wangu ume stuck hapa hapa aisee.. new model ya mwaka gani ?
Bado haijanibarikii hata kidogo hasa muonekano wake wa nje.. πππ2020 ile SVR
Ila mie napenda zaidi VOGUE kama la MO lile.Bado haijanibarikii hata kidogo hasa muonekano wake wa nje.. πππ
Lile lipo vizuri sana.. nalielewa lile gari.. chombo kile hata ukipita kwa wasio zijua gari lazima washangae mnyamaIla mie napenda zaidi VOGUE kama la MO lile.
Bado haijanibarikii hata kidogo hasa muonekano wake wa nje.. πππ
Hii LC iko handsome,.ila kwa HP za Land Cruiser zinazoendeshwa nchini nyingi ni 220HP zile za 1VD-FTV Turbo diesel V8WAKUU NIAJE
ASEE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA KIBONGO BONGO UKIMUONA V8 CRUISER UNAIHESHIMU ILA KUNA HUYU MNYAMA LEXUS LX570 NI WA MOTO SANA KWANZIA INTERIOR AND EXTERIOR DESIGN. KUHUSU HP PERFORMACE MNYAMA LEXUS WA MOTO PIA MJAPAN TOYO ANA 381HP HUKU MNYAMA LEXI CUTE NI 383HP. PICHA HAPO CHINI TUFANYE UAMUZI SAHIHI TUKIUZA CROWN ZETU TUKITAKA KUAMIA KWENYE SUV
WAKUU NIAJE