Last Seen
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 229
- 566
Kampuni ya teknolojia ya LG imetangaza jana Jumatatu itasitisha uzalishaji wa simu janja. Kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imetangaza kuwa imekuwa ukipata hasara kwa kipindi Cha Muda mrefu inayokaribia $ 4.5bn.W
Wakuu wa kampuni wametoa sababu mojawapo ya Hasara kuwa ni soko la simu janja limekuwa na ushindani zaidi na wanajitoa ili ku-focus na Teknolojia ya "Artificial intelligence na teknolojia ya Roboti na vipuri vya magari ya umeme.
Mwaka wa 2020 iliuza simu janja milioni 28 kulinganisha na wapinzani wao Samsung waliouza simu janja million 256.
Licha biashara ya simu janja
kutofanikiwa kwa upande wao, LG imebakia kuwa kampuni ya pili kwa uuzaji wa TV ikiwa nyuma ya Samsung.
Mpinzani wake mkuu
Samsung na Kampuni Kubwa za ki-china OPPO, XIAOMI ni kampuni zinazotajwa kunufaika zaidi endapo LG itafunga uzalishaji wake wa Smartphone mwezi July.
Kitengo Cha uzalishaji wa simu, ni kitengo kidogo zaidi katika vitengo vyote vilivyopo katika kampuni ya LG.