Awadh Upunda
Member
- Feb 8, 2017
- 27
- 11
InawezekanaHii nimeipata ktk TV ya smart ya LG sijui kwenye tv nyingine nikaona bora niwajulishe nanyi kuhusu hili,
Kama wewe unatumia tv ya lg hili litakua linakuhusu tv yko inauwezo wa kukupa burudani kwa kuangalia Chanel za nyumbani tena nila malipo yoyote
ITV
Capital
Cloud tv
Wasafi tv
Startv
Chanel ten
Tbc
Chanel 5
Na nyingine ningi,muhimu kuwa na antenna....
kwa maelezo zaid nicheki 0652170490
0686623500View attachment 1002554View attachment 1002555
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nafahamu kwa upande wa settelite tu cjajua kwa antena bt cjajua pia km Samsung inakubali
Nilijaribu kweny Samsung ckupata ila kwnye lg huakikaIla nafahamu kwa upande wa settelite tu cjajua kwa antena bt cjajua pia km Samsung inakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia Sumsang smart napata local chanels zote pia BBC na Aljazera napata kwa kutumia antenna.Ila nafahamu kwa upande wa settelite tu cjajua kwa antena bt cjajua pia km Samsung inakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko mjini au kijijiniNatumia Sumsang smart napata local chanels zote pia BBC na Aljazera napata kwa kutumia antenna.