Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
[emoji24][emoji24][emoji24]Yaani kama kuna Mtanzania anaweza kuomba Chuo LGITI Dodoma online ajitokeze hapa. Ukute Muda huu IT wa Chuo anasubiri Mshahara wakati hakuna kinachowezekana.
Simu hawapokei, wanakosesha mapato serikali, yaani shida tupu.
Hii nchi inakuwa na vijana wa hovyo sana.
Maisha ni fumbo aisee ... pumzika kwa amani kyoma ..Yaani kama kuna Mtanzania anaweza kuomba Chuo LGITI Dodoma online ajitokeze hapa. Ukute Muda huu IT wa Chuo anasubiri Mshahara wakati hakuna kinachowezekana.
Simu hawapokei, wanakosesha mapato serikali, yaani shida tupu.
Hii nchi inakuwa na vijana wa hovyo sana.