Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Kituo cha sheria na haki za binadamu kimesema kwamba kinalidhishwa na utendaji kazi wa Rais Magufuli na kumpongeza jwa kazi yake nzuri.
Pia wamempongeza Rais kwa ishu ya makinikia na kutaka siasa isiingingwe katika majadiliano na Acacia.
Wamekumbushia riporti ya LUGUMI kupelekwa tena bungeni na kutolewa ripoti upya ili watuhumiwa wafikishwe mahakamani.
Kuhusu katiba mpya wameeleza kumtaka Rais kupatikana na katiba mpya itakayoleta usawa na demokrasia nchini kwa wananchi na vyama vyote vya siasa
Soma