Pre GE2025 LHRC: Mamlaka itoe haki ya dhamana kwa Dkt. Slaa, ni haki yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye mambo ya kipuuzi ya siasa Huwa wanajitokeza chap ila kwenye masuala ya Wananchi huwezi waona,stupid
Wewe ndio mpumbavu ni masuala gani ya wananchi yanayohusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu ambayo hawajitokezi?

Mambo ya kipuuzi ya kisiasa? Unalipwa posho kuleta uchawa wa kisiasa kila siku, after all nini maana ya siasa ili tuuone huo upuuzi?
 
Masikini Dr.Slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…