LGE2024 LHRC yawajengea uwezo waangalizi wake kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

LGE2024 LHRC yawajengea uwezo waangalizi wake kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 LHRC yawajengea uwezo waangalizi wake ili wajue sheria, kanuni na taratibu zinazotakiwa kufuatwa wakati wa uchaguzi, ambapo baada ya uchaguzi LHRC watatoa ripoti kutokana na kitakachokuwa kimepatikana kutoka kwa waangalizi ili kuboresha chaguzi zinazofuata.


Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 
Back
Top Bottom