Liar, Liar Pants on Fire!

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Duh, Mwaka huu Watanzania watakogwa na kudanganywa hata kwa vitu ambavyo hauhitaji ujuzi mkubwa kung'amua ni upupu.

Mr. President,

We did not need you to travel 10 times to USA at a cost of US $1,200,000.00 a trip which is total of $12,000,000.00 which equates to 26% of the cost of the whole eRural electrification project. Infact if it was not due to your cocky attitude to reward investors with tax shelters and exemmptions in mining industry and oter sectors, we could have footed (sic) the bill ourselves.

Infact, ad it not been for the power hunger that lead to EPA, the amount of money that went to your accomplices of Kagoda, plus your travel expenses, could have covered the whole project!

Somebody gotta respond to this nonsense! Not everyone is stupid! We know how to count and the minimal mathematics knowledge we have tells us you think kila mtu ***** tatishika na majina makubwa kama BUSH!

 
Tena nimesahau, mwaka 2002-2003, tulikuwa na hizo pesa tukaamua kununua ndege ya Rais kile ki Gulf Stream kilichokufa baada ya miaka minne ya kazi!
 
Bythe way, hizi ahadi za kujenga upya Taifa na kuleta maendeleo zinatokana na misaada tuu? Je ni lini CCM itawaambia Watanzania kuwa kila wanachoahidi kinatokana na mtaji na nguvu za mapato yetu?
 

hivi huwa anatumia kiasi hicho cha fedha kwa trip moja?!
 
Jamani tusiishie kulaani tu.
lets make him moved from the mahala patakatifu.
I have bad guts kuwa akiendelea kikwete tanzania ipo hatarini kuendelea kuwepo.

Ametudanganya sana na kuvunja sana katiba bila kuguswa.
Ahsante Rev. Kishoka.
twendeni kwenye ballot box tukaangushe mbuyu
 
Hii ndio shida ya kuwa na rais mbumbumbu na mshamba, hawezi kupiga mahesabu kwamba gharama anazotumia ni kubwa kuliko huto tu misaada anatopata, lakini hata misaada yenyewe sio bure kwani wazungu wameitolea macho uranium yetu, yeye anajifanya hajua. Rais seriou asingejisifia ujinga kama huu.
 
Bythe way, hizi ahadi za kujenga upya Taifa na kuleta maendeleo zinatokana na misaada tuu? Je ni lini CCM itawaambia Watanzania kuwa kila wanachoahidi kinatokana na mtaji na nguvu za mapato yetu?
Siasa ya ujamaa na kujitegemea ilivyouwawa ilikuja siasa ya njama na utegemezi

haingii akilini kila ninaposikiliza ahadi lazma arejee wafadhili

Its like a father planning edcuation ya watoto wake na kuahidi watoto mjomba akija ataleta... wakati huo mzee yuko shamani na anacheza bao akisubiri mjomba aje
 
mwongo! mwongo! kikwete, taifa liko hatarini, tuandokane na huu ukoma utatumaliza
 
I wonder kwanini kila akirejea ahadi lazima arejee kwa wafadhili tena not any other country other than US whatever he says has to do either with Obama or Bush na kwa wadanganyika still wanaamini things will still come
 
Lakini kwa nini Watanzania wanababaishwa na ZeKomedi?
 
Tena nimesahau, mwaka 2002-2003, tulikuwa na hizo pesa tukaamua kununua ndege ya Rais kile ki Gulf Stream kilichokufa baada ya miaka minne ya kazi!

Je wakati wa kupiga kura wananch wachague chama au wachague mtu (mgombea)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…