Liberata Mulamula ni Robert Ouko mwingine?

Kunaweza kusiwe na shida yoyote
 
Naona maombolezo yanaendelea.😆😆.

Endeleeni kupeana faraja.
 
Is being numerate a requirement for a good diplomat?!
Wanatakiwa kumudu maneno zaidi bro!
imagine amekwenda kwenye forum ya investors na a simple numeration hawezi kuitamka....a nation's top diploma!!!! uwe serious kidogo
 
imagine amekwenda kwenye forum ya investors na a simple numeration hawezi kuitamka....a nation's top diploma!!!! uwe serious kidogo
Hizo tarakimu za kiwango cha 'Trillion' ni wanasiasa wachache sana wanaweza kuzitamka kwa ufasaha..

Suluhisho huwa ni muandaaji wa andiko kuandika both tarakimu na maneno, then mwanasiasa (au diplomat) anapowasilisha anasoma maneno tu!
 
Na ndio maana hata aliweza kuwa na uraia pacha.

Mnaacha ukweli mbabaki kuumauma maneno.

Huyu naye ni Lissu mwingine wa kike.[/QUOTE]

Kwanini mnapenda kupotosha watu? Nchi yetu Haina uraia pacha Hilo linafahamika, ukiwa raia wa Nchi nyingine unaukataa kwanza Uraia wako wa athiri ndio upewe huo wetu.

Au kama wewe ni Mtanzania umetamani kua canadiani , unaukana kwanza utanzania wako unachukua ucanadiani wako.
 
Mhuuuu! Sitaki kumtetea Mwinyi uzuri Bado Yu hai.

Yeye anayakwake Ya Loliondo, ila kwenye madini na ma Banks hayo niya Beny.
 
Hizo tarakimu za kiwango cha 'Trillion' ni wanasiasa wachache sana wanaweza kuzitamka kwa ufasaha..

Suluhisho huwa ni muandaaji wa andiko kuandika both tarakimu na maneno, then mwanasiasa (au diplomat) anapowasilisha anasoma maneno tu!
ndiyo sababu wanasaini mikataba ya hovyo kwa kutojua
 
Nchi hii ingekuwa na watu wengi wenye akili mtu kama JPM asingekuwa Raisi na uyu mama asingekuwa naibu wa Rais. Ni aibu kuongozwa na watu wasiojua lolote.
Tukupe wewe basi mwenye akili iliyofurika kwenye ubongo.
 
Mtafute huyo Liberata aje asome hii....,75,120,125,010,365...akiweza unitafute. ....hakufit nafasi ile. period. usitafute mchawi
😬😬😄😄🤣sabiiii saba zero sifuri taaaatataaatu
 
Yule mama alikuwa hafiti kabisa kwenye hiyo nafasi ,Samia kafanya jambo la maana kumpiga chini akafie mbele huko
Mi nadhani ingekuwa yeye na Waziri tozo! Ila kahagua kumfuta yeye kwa vile alikuwa tishio kwake binafsi, si yule ambaye ni tishio kwa maisha ya Watanzania.
 
Na ndio maana hata aliweza kuwa na uraia pacha.

Mnaacha ukweli mbabaki kuumauma maneno.

Huyu naye ni Lissu mwingine wa kike.

Kwanini mnapenda kupotosha watu? Nchi yetu Haina uraia pacha Hilo linafahamika, ukiwa raia wa Nchi nyingine unaukataa kwanza Uraia wako wa athiri ndio upewe huo wetu.

Au kama wewe ni Mtanzania umetamani kua canadiani , unaukana kwanza utanzania wako unachukua ucanadiani wako.
[/QUOTE]
Na huo ni ujingaa na wanaoshikilia mawazo kama hayo hawaishi ulimwengu huu. Maiti tu ndiyo wana uraia wa nchi moja!
 
Umri umekwishamtupa,wamarekani walitumia sana kujua mambo ya ndani kwetu.
Mabeberu hawahitaji kuambiwa na Mulamula mambo yako ya ndani kama wanahitaji kufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…