Liberata Mulamula sasa unachafuka kimataifa

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Ulipokuwa ukihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 ulionesha jinsi ilivyokuwa ngumu kueleweka kimataifa kwenye suala la diplomasia wakati wa awamu ya tano.

Na ukasema diplomasia inaanzia ndani ya nchi, namna tunavyoendesha siasa zetu. Siasa zikiwa za hovyo hata diplomasia inakuwa ya hovyo.

Sasa umeteuliwa kuwa waziri wa Mambo ya nchi za nje kusimamia diplomasia ya hovyo maana mama ameanza kufanya siasa za hovyo.

Legacy yako itakuwa ni kusimamaia diplomasia ya hovyo.
 
Tanzania tushakua kichwa cha mwenzawazimu kama awamu ya Tano

Tumerudi kule kule kwa Magufuli

What a loss!
Yale majitu yanayopenda ubabe na udikteta yamemzidi maarifa huyu mama ndiyo maana nia yake ya kujenga demokrasia imepuuziliwa mbali.
 
Viongozi wetu ni kama bendera inayovuma kwa kufuata upepo wanachoangalia ni jinsi gani mkono uwende kinywani.
 
Who cares... acha mahakama itaamua. Msiwe watu wa kufurahia kukamatwa kwa Sabaya lkn mnalia lia kukamatwa kwa Mbowe. Sheria ni msumeno inakata kote kote. Ilianza na Sabaya sasa imehamishia makali yake kwa Mbowe.
 
Ulipokuwa ukihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 ulionesha jinsi ilivyokuwa ngumu kueleweka kimataifa kwenye suala la diplomasia wakati wa awamu ya tano.

Na ukasema diplomasia inaanzia ndani ya nchi, namna tunavyoendesha siasa zetu. Siasa zikiwa za hovyo hata diplomasia inakuwa ya hovyo.

Sasa umeteuliwa kuwa waziri wa Mambo ya nchi za nje kusimamia diplomasia ya hovyo maana mama ameanza kufanya siasa za hovyo.

Legacy yako itakuwa ni kusimamaia diplomasia ya hovyo.
Hakuna siasa yoyote ya ovyo inyofanyika watu wanaambiwa watulie kidogo swala la katiba ni muhimu litajadiliwa wanaleta jeuli kuwa watamnyoa kama walivyomyoa Magufuli sasa tunataka tuone kati ya wao na Rais Samia nani ananyolewa?
 
Duuu tayari dozi imeanza kuwaingia tuliwambia huwezi kumpima kiongozi kwa mwezi mmoja tu
 
Hakuna siasa yoyote ya ovyo inyofanyika watu wanaambiwa watulie kidogo swala la katiba ni muhimu litajadiliwa wanaleta jeuli kuwa watamnyoa kama walivyomyoa Magufuli sasa tunataka tuone kati ya wao na Rais Samia nani ananyolewa?
Lkn kunyolewa atanyolewa. Subirini
 
Ulipokuwa ukihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 ulionesha jinsi ilivyokuwa ngumu kueleweka kimataifa kwenye suala la diplomasia wakati wa awamu ya tano.

Na ukasema diplomasia inaanzia ndani ya nchi, namna tunavyoendesha siasa zetu. Siasa zikiwa za hovyo hata diplomasia inakuwa ya hovyo.

Sasa umeteuliwa kuwa waziri wa Mambo ya nchi za nje kusimamia diplomasia ya hovyo maana mama ameanza kufanya siasa za hovyo.

Legacy yako itakuwa ni kusimamaia diplomasia ya hovyo.

Sielewi ni nini Unachomsifia huyo mama cha ajabu amefanya?
Acheni hizo banaa...
Niambie kafanya
1.
2.
3.
Ambavyo Amefanya yeye Kama yeye yaani innovatives ideas!
Then zikawa imolemented hata kama hazikuwa implemented we need to know
 
Back
Top Bottom