Liberia kumtunuku Wenger tuzo ya juu kabisa ya heshima kwa kusaidia soka la Africa.

Liberia kumtunuku Wenger tuzo ya juu kabisa ya heshima kwa kusaidia soka la Africa.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni taarifa iliyotolewa na BBC , kwamba Rais wa Liberia Mh George Weah atamtunukia mkongwe Arsene Wenger tuzo ya juu ya heshima kwa kukuza soka barani Afrika , tukio lililopangwa kufanyia tarehe 24/8 / 2018 , baadhi ya wananchi wa Liberia wanabeza tuzo hiyo .

je wewe waonaje ?
 
Kiukweli hata kama mimi si mshabiki wa Arsenal, babu Wenger alithamini sana wachezaji wa Africa hata katika kipindi cha Ubaguzi mkuu wa wachezaji barani Ulaya.

Hongera zake babu huyo.
Hongera George Weah kwa kuliona hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom