Hii ni taarifa iliyotolewa na BBC , kwamba Rais wa Liberia Mh George Weah atamtunukia mkongwe Arsene Wenger tuzo ya juu ya heshima kwa kukuza soka barani Afrika , tukio lililopangwa kufanyia tarehe 24/8 / 2018 , baadhi ya wananchi wa Liberia wanabeza tuzo hiyo .
je wewe waonaje ?