Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lengo ni kuongeza ufanisi na kuwafanya wachezaji walio nje ya timu kujituma .Si wanalipwa na klabu zao? Ila ni wazo zuri, litaongeza tija na kujituma katika timu ya taifa kama wanavyofanya kwenye klabu
wanaoteuliwa wanaingizwa moja kwa moja kwenye mfumo wa mishahara ya serikali , ukitemwa unapewa kiinua mgongo kwa mahesabu yaliyowekwaKivipi? Kwa hiyo serikali itasajiri wachezaji na kuwa timu? This is logically impossible.
ni rahisi tu , kila anayeingia anaajiriwa na kila anayetoka analipwa mafao yake kulingana na muda aliolitumikia taifaSiju watatumia mfumo gani coz wachezaji wa timu za taifa huwa wanabadilika baada ya muda mfupi sana.
Ni ubunifu mzuri wa motisha.wanaoteuliwa wanaingizwa moja kwa moja kwenye mfumo wa mishahara ya serikali , ukitemwa unapewa kiinua mgongo kwa mahesabu yaliyowekwa
Katoa 50ml kelele na vitisho juu,je angewalipa mishahara ingekuwajeJiwe asisikie habari hizi
Dogooio mchumi ukikamata nchii hatareesanaSi wanalipwa na klabu zao? Ila ni wazo zuri, litaongeza tija na kujituma katika timu ya taifa kama wanavyofanya kwenye klabu
Kauli ya Rais ni amri .Nyie ndo huwa miongoni mwa wale ambao hupotosha jamii... yeye(weah) amesema yupo mbioni kufanya huo mpango ina maana bado haujakamilika wewe unatuambia tayari ameshawafanya kuwa watumishi