Liberia: Rais awafanya wachezaji wa Timu ya Taifa kuwa watumishi wa umma , kulamba mshahara mnono.

Tatizo letu tunadadisi sana mpaka tunaiikosesha majibu, cha msingi ni kupongeza na kuwatakia mafanikio.
Mpaka wametangaza maana yake washaweka mfumo,wewe na mimi huku hatuna haja ya kuhoji watafanyaje, wao wanaakili pia ya kutengeneza mifumo.
Big Up Liberia
 
Rais mwanamichezo. No timu zote za taifa au soka tuu
 
George Weah sawa anataka kuwa motivate lakini sidhani kama team za taifa ni kama klabu. Mchezaji aki dip in form asiitwe wakati tayari yupo kwenye payroll itakuaje?

Ila Weah mjanja mjanja sana. Kwanini mwanae anachezea timu ya taifa ya Marekani na sio raia wa Liberia?
 
Nyie ndo huwa miongoni mwa wale ambao hupotosha jamii... yeye(weah) amesema yupo mbioni kufanya huo mpango ina maana bado haujakamilika wewe unatuambia tayari ameshawafanya kuwa watumishi
 
Nyie ndo huwa miongoni mwa wale ambao hupotosha jamii... yeye(weah) amesema yupo mbioni kufanya huo mpango ina maana bado haujakamilika wewe unatuambia tayari ameshawafanya kuwa watumishi
Kauli ya Rais ni amri .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…