Liberia: Wafanya maandamano kumpinga Rais George Weah

Liberia: Wafanya maandamano kumpinga Rais George Weah

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Zaidi ya watu mia moja wamefanya maandamano hayo katika Mji wa Monrovia, yakiratibiwa na muungano wa vyama vya upinzani wakilalamika kupanda kwa bei ya vitu na uhaba wa mahitaji ya msingi.

Waandamanaji wanaamini uamuzi huo utatuma ujumbe katika jumuia za kimataifa kuwa wamechoshwa na kinachoendelea Nchini humo, wakidai Weah amefeli katika uongozi wake.

Maandamano hayo yamefanyika baada ya Rais Weah kuwa nje ya Nchi tangu Oktoba 2022. Liberia inatarajiwa kufanya uchaguzi Mkuu Oktoba 2023.


------ ---- ------


Liberians demonstrate against President Weah

Hundreds of Liberians gathered on Saturday in a suburb of Monrovia to demonstrate against the President George Weah.

The protest was organised by the opposition as the country grapples with soaring prices and shortages of basic goods.

"Our gathering here today will send a signal to the international community that we are tired with everything that is unfolding in our country", said demonstrator Ambrose Kamara.

The leader of the opposition coalition, CPP, and potential presidential candidate accused President Weah of failure.

"We’re going to give President Weah an ‘F’ because he has failed us as a people", denounced Alexander Cummings, one of the leaders of the Collaborating Political Parties (CPP) coalition.

CPP spokesman, Lewis Browne, added "for those who are tired of suffering and scared to be here, we are here because of you too. This is a beginning of a march to a new Liberia".

President Weah has been out of the country since the end of October and is expected to return officially this Sunday after seven weeks away.

Liberians are set to choose a new president and parliament in October 2023.

Source: Africanew
 
Walimchagua Rais mcheza mpira,walitarajia nini?
 
Swali, ni nani anayetakiwa kushusha bei ya vitu? Kwa sababu kupanda kwa vitu kunatokana na uhaba wa hivyo vitu, au hivyo vitu kuwekewa kodi kubwa.
 
Kweli mwenge unatupumbaza na kututia utaahira, vitu vinapanda bei kila kukicha, sisi tunachekacheka tu kama machotara wa zezeta na zuzumagic
 
Mkuu Ukraine na Urusi bado wanatwangana wavumilie tu...dah ila Hangaya anafix kinoma.
 
Back
Top Bottom