Liberia: Waziri wa Sheria alaani kuachiliwa huru kwa Watuhumiwa 4 waliokamatwa na Kilo 500 za Cocaine

Liberia: Waziri wa Sheria alaani kuachiliwa huru kwa Watuhumiwa 4 waliokamatwa na Kilo 500 za Cocaine

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Katika hali isiyo ya kawaida Mahakama nchini humo imewaachia huru washukiwa hao kutoka Liberia, Ureno, Lebanon, na Guinea-Bissau baada ya kukamatwa na kontena lenye zaidi ya kilo 500 za Cocaine, zenye thamani ya takriban Tsh. Bilioni 236.4

Waziri wa Sheria nchini humo, Frank Musah Dean Jr. amelaani uamuzi huo, akisema umesababisha dhihaka ya kimataifa kwa Liberia huku akiahidi kuwakamata tena washukiwa hao ambao wametoroka tangu wakati huo

Watuhumiwa hao walikamatwa 2022 kwa usaidizi wa Marekani na Brazil katika tukio lililochukuliwa kama moja ya mafanikio makubwa ya nchi hiyo katika kupambana na wafanyabiashara wa Dawa Za Kulevya

...........

The authorities in Liberia say they've lost all trace of four suspected drug dealers linked to a $100m (£80m) cocaine shipment, after a trial jury unexpectedly acquitted them.

Last year, with assistance from the US and Brazil, Liberian security officials seized a container with more than 500 kilos of cocaine inside.

Four men - from Liberia, Portugal, Lebanon and Guinea-Bissau - were arrested in what was seen at the time as one of Liberia's biggest successes against drug smugglers.

But last week a jury in the capital Monrovia found them not guilty.

The justice minister condemned the decision, saying it had brought international ridicule on Liberia. He vowed to re-arrest them but they have since fled.

Liberian authorities have launched a manhunt for the suspects.

Chanzo: BBC
 
Huyu waziri nae amechelewa tu, watu wa hivi unamaliza huko huko mtaani, pale unapeleka ripoti tu kwamba wameuwawa wakiwahishwa hospital baada ya kutokea mabishano ya risasi na polisi

Wauza unga wana nguvu sana
 
Back
Top Bottom