Library iko Munich Allegmagne

Library iko Munich Allegmagne

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1621044852749.png
 
Aisee nzuri sana. Katika vitabu kuna kujifunza mengi sana. I wish tuwe na uwezo kujisomea kila mara. Ukienda Library ya Udsm hasa upande wa science kuna mashelfu yenye vitabu vilivyojaa vumbi...hasa sehemu yenye journals. sasa sijiu ni kwamba yamepitwa na wakati au inakuwaje.
 
Vingeķuwa vitabu vya udaku na majarida ya nani kafumaniwa au kafulia vumbi usingeliona
 
Back
Top Bottom