Aisee nzuri sana. Katika vitabu kuna kujifunza mengi sana. I wish tuwe na uwezo kujisomea kila mara. Ukienda Library ya Udsm hasa upande wa science kuna mashelfu yenye vitabu vilivyojaa vumbi...hasa sehemu yenye journals. sasa sijiu ni kwamba yamepitwa na wakati au inakuwaje.