Libya 1 Football Club

Libya 1 Football Club

Kwenye klabu bingwa, Libya 1 ni bingwa wa ligi ya Libya na Libya 2 ni anayeshika nafasi ya pili.
Kwa upande wa shirikisho Libya 1 ni anayeshika nafasi ya tatu na Libya 2 ni anayeshika nafasi ya nne.
 
Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Mpaka sasa ni Al Hilal ila bado mechi tatu ijulikane kama atakuwa yeye au timu ipi. Libya 1 ni timu itakayoshika nafasi ya 3 ligi kuu Libya.
 
Hadi sasa Bado mechi tatu ni Al Hilal Bengaz..ila inaweza kubadilika
 
Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Tanzania kuna Wachambuzi au wachambaji? Hao ni wa kuongea huruma.
 
Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Ligi imeisha Simba atacheza dhidi ya Al-Ahli Tripoli
 
Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Wewe jamaa ni muongo. Haaaa haaaa
 
wanacheza championship round
Championship round imeshaisha mzee, ligi ya Libya ipo katika mfumo kama wa ligi ya Tunisia. Wanawekwa kwenye makundi kisha timu sita za juu zinakutana kwa ajili ya kupata top 4. Hivyo zinachezwa jumla ya mechi 5 na tayari mzunguko wa tano umeshakamilika na bingwa ni Al Nasri, nafasi ya pili ni Al Ahli Benghazi na wa tatu ni Al Ahli Tripoli na wanne ni Al Hilal. Mechi zimetamatika jana tarehe 22.
 
Back
Top Bottom