valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
NakaziaLibya 1 & 2 maana yake ni.
Timu itakayo maliza nafasi ya 1 & 2 katika ligi ya Libya.
Libya wanatoa timu nne, hivyo ukiangalia kwenye klabu bingwa kuna Libya 1 na Libya 2 na hivyo hivyo kwenye shirikisho wameweka Libya 1 na Libya 2.Nakazia
Mpaka sasa ni Al Hilal ila bado mechi tatu ijulikane kama atakuwa yeye au timu ipi. Libya 1 ni timu itakayoshika nafasi ya 3 ligi kuu Libya.Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Ahahaahhh. Wachambuzi wanaichambua kama timu ngeni. Nimecheka kwelii Hadi ikabidi niende google.Endelea kugoogle mkuu.
Wa kituo gani hao?Ahahaahhh. Wachambuzi wanaichambua kama timu ngeni. Nimecheka kwelii Hadi ikabidi niende google.
Tanzania kuna Wachambuzi au wachambaji? Hao ni wa kuongea huruma.Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Sijui kashamba, something.Wa kituo gani hao?
Ligi imeisha Simba atacheza dhidi ya Al-Ahli TripoliWakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
sio kweli,Ligi imeisha Simba atacheza dhidi ya Al-Ahli Tripoli
Wewe jamaa ni muongo. Haaaa haaaaWakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Ukweli ni upi?sio kweli,
wanacheza championship roundUkweli ni upi?
Championship round imeshaisha mzee, ligi ya Libya ipo katika mfumo kama wa ligi ya Tunisia. Wanawekwa kwenye makundi kisha timu sita za juu zinakutana kwa ajili ya kupata top 4. Hivyo zinachezwa jumla ya mechi 5 na tayari mzunguko wa tano umeshakamilika na bingwa ni Al Nasri, nafasi ya pili ni Al Ahli Benghazi na wa tatu ni Al Ahli Tripoli na wanne ni Al Hilal. Mechi zimetamatika jana tarehe 22.wanacheza championship round