Libya: Abiria 55 wafariki baada ya boti kuzama

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Boti hiyo iliyokuwa imebeba wahamiaji wakielekea Barani Ulaya imezama katika Pwani ya Libya ilikuwa na abiria 60.

Watu watano wamesalimika akiwemo mtoto raia wa Syria, huku Wanausalama wakiwa na kazi ya kuopoa miwili kutoka kwenye bahari.

Libya imekuwa ikitumika kama njia kuvuka kwenda Ulaya licha ya kuwa kumekuwa na idadi kubwa ya vifo vinavyotokea baharini wakati wa kuvuka.

========

Migrant boat sinks off Libya killing 55 passengers

At least 55 migrants have been killed when their Europe-bound dinghy sank off the coast of Libya, the UN's migration agency says.

The boat - carrying 60 people - had set sail from a town to the east of the capital, Tripoli, before it capsized.

Five migrants survived - including a Syrian child - and were taken back to shore.

The Libyan coastguard have been working to retrieve bodies.

Libya is a common departure point for migrants attempting the perilous Mediterranean crossing to Europe. Hundreds have died so far this year.

Source: BBC
 
Hizi boti mbona zinazama Sana, au Ni ngalawa? Afu tunadanganywa Ni boti?
 
Hao nao wamekua kama nyumbu Kila siku wanaona wenzao wana zama nawao wanajitosa baharini kifo cha kujitakia kisa kukimbilia Ulaya
 
Ujue huko watokako kufa ni saa yeyote, kwahiyo wanaona ni bora wafe wakijaribu kujiokoa kuliko kukaa na kusubiria kufa tu...
 
Hizi boti mbona zinazama Sana, au Ni ngalawa? Afu tunadanganywa Ni boti?
Wanaowabeba huwa wakichukua hela zao ndefu wanawazamisha makusudi maana hawawezi kuwafikisha wanakutaka wao

Dili hakuna tena, wanachukua zaidi ya $5000 kwa kichwa halafu wanawazamisha wanasepa

Wamewauwa sana
Haiwezekani eti kila siku wanakufa au hawakamatwi hao wanaowapeleka
 
Back
Top Bottom