Stonesrain
Member
- Nov 19, 2019
- 56
- 53
Mkuu hizo rate kubwa sana kwa team iliyofungwaJuma Kaseja 7
Salum Kimenya 5
Mohammed Hussein 7
Kelvin Yondan 6.5
Jamal Mwamnyeto 7
Mzamiri Yassin 8.5
Abubakar Salum 8
Simon Msuva 8
Mbwana Samatta 3
Farid Mussa 7
Ditram Nchimbi 8
Sub
Hassan Kessy 3
Shaban Idd 4.5
Hassan Dilunga 4
Coach
Ndayiragije 5
Walijitahidi lakini,maana refa nae alichangia kufungwa kwao,binafsi mimi naona ni sahihi kulinganisha na perfomance ya mechi yenyeweMkuu hizo rate kubwa sana kwa team iliyofungwa
Sure yaani rating ya juu kabisa ilitakiwa iwe 7 kwa msuva.Mkuu hizo rate kubwa sana kwa team iliyofungwa
Juma Kaseja 7
Salum Kimenya 5
Mohammed Hussein 7
Kelvin Yondan 6.5
Jamal Mwamnyeto 7
Mzamiri Yassin 8.5
Abubakar Salum 8
Simon Msuva 8
Mbwana Samatta 3
Farid Mussa 7
Ditram Nchimbi 8
Sub
Hassan Kessy 3
Shaban Idd 4.5
Hassan Dilunga 4
Coach
Ndayiragije 5
Hii game Samatta alikuwa atolewe mapema sana kwani kipindi cha pili ilikuwa amechoka sanaAlitakiwa atoke Farid Mussa mapema zaidi aingie Frank Domayo au Shaban Chilunda ili Msuva arudi chini uncover nafasi ya Faridi