Wanajamii, kuna taarifa zinazoendelea kuvuma kwamba timu ya Taifa ya Libya imedefect na kujiunga na wapinzani huko Bengazi. Nadhani hali sio shwari huko kwa papa Ghadafi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.