m_kishuri JF-Expert Member Joined Jan 27, 2010 Posts 1,484 Reaction score 372 Jun 25, 2011 #1 [video]http://www.twitvid.com/RUTLW[/video] Wanajamii, kuna taarifa zinazoendelea kuvuma kwamba timu ya Taifa ya Libya imedefect na kujiunga na wapinzani huko Bengazi. Nadhani hali sio shwari huko kwa papa Ghadafi.
[video]http://www.twitvid.com/RUTLW[/video] Wanajamii, kuna taarifa zinazoendelea kuvuma kwamba timu ya Taifa ya Libya imedefect na kujiunga na wapinzani huko Bengazi. Nadhani hali sio shwari huko kwa papa Ghadafi.