Licha ya dhihaka na kejeli,Abdul El sayed anaweza kuwa senator wa Michigan

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Huenda Abdul El sayed akawa senator wa jimbo la Michigan mpaka sasa anaongoza kwa kasi.

Licha ya kejeli na dhihaka aliyopewa kutoka kwa viongozi wakubwa wa republican kama D.trump bado wapiga kura wengi watiifu kutoka republican wameamua kumpigia kura El sayed.

Barack Obama amekuwa msaada mkubwa kwenye kampeni kiukweli Obama hana show mbovu
 

Attachments

  • Screenshot_20261104_005719_Lite.jpg
    168.8 KB · Views: 3
Nadhani atashinda.

Ila jamaa wamembagua sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…