John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
“Tunarudi kwetu sasa.... Nyumbani kwetu na sisi... Kwenye ufalme wetu
“Save the date MARCH 13 2022,🔥🔥
“Siku ambayo Rs Berkane watavuta pumzi ya moto, siku ambayo Berkane wataiona Simba halisi
“Wana Simba wenzangu tujiandae kwa siku hii ya kihistoria, hizi ndio mechi zetu za kujidai
“Hatuna tunachohitaji siku hiyo zaidi ya Alama TATU na InshAllah kwa heshima ya Nchi zitapatikana
“MSIHOFU WALA MSIHUZUNIKE,” ✍🏽 Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally.