John Haramba JF-Expert Member Joined Feb 4, 2022 Posts 365 Reaction score 1,374 Feb 28, 2022 #1 “Tunarudi kwetu sasa.... Nyumbani kwetu na sisi... Kwenye ufalme wetu “Save the date MARCH 13 2022,🔥🔥 “Siku ambayo Rs Berkane watavuta pumzi ya moto, siku ambayo Berkane wataiona Simba halisi “Wana Simba wenzangu tujiandae kwa siku hii ya kihistoria, hizi ndio mechi zetu za kujidai “Hatuna tunachohitaji siku hiyo zaidi ya Alama TATU na InshAllah kwa heshima ya Nchi zitapatikana “MSIHOFU WALA MSIHUZUNIKE,” ✍🏽 Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally.
“Tunarudi kwetu sasa.... Nyumbani kwetu na sisi... Kwenye ufalme wetu “Save the date MARCH 13 2022,🔥🔥 “Siku ambayo Rs Berkane watavuta pumzi ya moto, siku ambayo Berkane wataiona Simba halisi “Wana Simba wenzangu tujiandae kwa siku hii ya kihistoria, hizi ndio mechi zetu za kujidai “Hatuna tunachohitaji siku hiyo zaidi ya Alama TATU na InshAllah kwa heshima ya Nchi zitapatikana “MSIHOFU WALA MSIHUZUNIKE,” ✍🏽 Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally.
Babarazack Senior Member Joined Sep 9, 2015 Posts 132 Reaction score 156 Feb 28, 2022 #2 Kikubwa uhai.acha maisha yaendelee.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Feb 28, 2022 #3 Daudi Mchambuzi said: Hebu GENTAMYCINE hebu sema jambo hapa na wanamsimbazi wenzako. Click to expand... Kuna Uzi wangu mrefu nimeuanzisha muda si mrefu utafute kwani huenda ukawa na Majibu yako yote unayoyahitaji.
Daudi Mchambuzi said: Hebu GENTAMYCINE hebu sema jambo hapa na wanamsimbazi wenzako. Click to expand... Kuna Uzi wangu mrefu nimeuanzisha muda si mrefu utafute kwani huenda ukawa na Majibu yako yote unayoyahitaji.
ChickMagnet JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,676 Reaction score 3,451 Feb 28, 2022 #4 Trust me hao jamaa wakija huku hutaamini kama ndio wale Watatepeta mnooo
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,535 Reaction score 2,499 Feb 28, 2022 #5 Labda perfume zitumike ChickMagnet said: Trust me hao jamaa wakija huku hutaamini kama ndio wale Watatepeta mnooo Click to expand...
Labda perfume zitumike ChickMagnet said: Trust me hao jamaa wakija huku hutaamini kama ndio wale Watatepeta mnooo Click to expand...
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Feb 28, 2022 #6 Time will tell.