Licha ya kusoma bado elimu yetu haina tena mashiko kwa kizazi cha sasa

ikiumasema

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2015
Posts
923
Reaction score
1,299
Ndugu zangu salamu ziwafikie,

Nimekuwa nasoma mada mbalimbali hapa jukwaani, wiki hii imetrend mada ya dada wa Mwanza anayeuza makande. Wengi wamemsifia na kumpongeza kwa uthubutu wake, kundi la pili wamemponda kwa sababu mbalimbali na pia kwa kiwango chake cha elimu.

Naomba na mimi nitoe ya moyoni, sisi wengi tuliosoma Tanzania wengi kama 90% tunaishi kwenye middle class life with full of stress, full of torture refer mkuu anavyowadhalilisha wasome hadharani. Kumbuka watu hawa wana uelewa, wana hisia kama wewe, wana familia na pia wanafanya makosa kama binadamu wengine...

Bad to all most of kazi wanazozipata salary yake ni mbovu sana refer kwa Walimu, Polisi hata watu wa afya aisee tuna hali mbaya sana. So inafikia stage mtu anaamua ni bora aweke vyeti pembeni atafute namna ya kuyaendesha maisha yake kwa furaha. Hapo anakuwa kakosea nini wakuu?

Just imagine Serikali inashindwa hata kulipa stahiki za Watumishi wake wanaodai pesa zao na kupandishwa madaraja kwa zaidi hata ya miaka saba! Wakuu wasomi mnataka tufanye nini?

Leo mimi ni Mwalimu nalipwa less than 500k per month mkuu, bado nafanya kazi kupita uwezo wangu, mkuu nikiamua kuuza hata mayai utanilaumu? Bora hata bodax2 anaweza pata zaid ya mshahara wang japo hajaenda shule sasa wasomi huko mtaani

Mnatudharau, mnatutukana, mnatukebehi sana na mnafurahia sana tulivyobanwa huku tunawatibu, tunawafundishia watoto wenu na kulinda usalama wenu tumevumilia bado tu hata shukrani na mnatucheka tuna maisha magumu so painfull, ama kweli kitanda usichokilalia..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini pamoja na yote ndugu watanzania wenzangu, suala la kua mjasiriamali si la kufanya eti sababu umekosa "kazi" entrepreneurship is a life style. Unaweza kua mjasiriamali ndani ya kazi uifanyayo, unaweza kua mjasiriamali nje ya kazi uifanyayo. Unaweza kua mjasiriamali kwa kumiliki biashara yako mwenyewe, unaweza kua mjasiriamali ili hali unafanya kazi kwenye ofisi ya mtu. It's about MINDSET!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe nae ni mwalimu basi naomba nitoe pole kwa taifa langu, na pia nitoe pole kwa wanafunzi unaowafundisha! Mungu atuongoze asee...

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni pia wazazi....mpeleke mwanao private schools... Serikali tulishakufa moyo siku nyingi sana....we just her because we have no where to go,so how can u expect me to teach ur child to achieve his/her goals while mine are not?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazani gvt sio wa kuwalalamikia kwa namn moja au nyngne kwasabab kwnye nch ambazo ni LDC mara nyingi pia na nying huwapo na kitu tunakiita low labour cost ichoo kitu na kwa kila citizen kina mgusa sio watumishi wa gvt tu kwa mfano ukiwa shoeshine wa state kusafisha kiatu kimoja tu unaweza lipwa dollar 5 hadi dollar 10 kwa maan io ni kuanzia 10k hadi 20k+ kwa ela ya kitanzania
Now kuondokewa na janga hilo nazani ni hadi pale tutakapo step out of this level of uchumi tulio nao
Na mtakumbuka vzuri kwann china ni sehem ambayo wawekezaj na mashirika makubwa hupenda kwenda pale sababu ni hiyo hiyo low labour cost na low cost of running biashara au kiwanda lakin kwa sas sifa hizo china inapoteza kwa mataifa kama India,Thailand,Bangladesh na nchi zngne ambapo ukiangalia vzur utambua kuwa na znyew ni nchi zinakuwa kwa sas tofauti na china ilishaa jikwamua kwnye level izoo na sas labour cost ina increase pia na factor zngne
 
Na ndipo msemo wa kusema hatuitaji vijana ambao wana degree tu ila tunaitaji vijana ambao ni smart na well educated comes into ply

are just my thought
 
Dont complain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo sio ujasiriamali. labda kwa definition yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Middle class unaijua ndugu yangu? Sema hiyo 10% iliyobaki ndo wanaishi middle class, ila 90% hawajaifikia hiyo class.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Very true
Unapojiita middle class maana yake kwenye akaunti yako Kuna millions of money ambazo zinajitosheleza kuhandle shida zote za kifamilia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwel kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu. Una watoto wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…