ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ukraine imeandikisha mauzo ya bidhaa za Kilimo Nje ya Nchi Zenye zaidi ya Dola bil.24 ikikaribia rekodi ya kabla ya vita mwaka 2021.
Wazungu ni watu wenye akili sana.Just imagine vita ilivyopamba moto kati ya Ukraine na Russia Kwa miaka 3 lakini Hawa Jamaa wameweza kuendelea na Kilimo Chao kama kawaida.
Na soko kuu la mazao ni Africa hususani nafaka.
My Take
Tanzania tunatakiwa kujifunza Kwa Nchi kama Ukraine kwamba wao wanawezaje kujifanya Kilimo kuwa ndio Kiongozi wa kusingizia Fedha za Kigeni kushinda bidhaa zingine.