Ni kweli kwamba AI ina uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko chanya katika jamii, lakini pia inaleta changamoto na madhara.
Moja ya madhara ni kwamba inaweza kutumika vibaya katika shughuli za kihalifu, kama vile kuvunja usalama wa mtandao, udanganyifu wa kifedha, au hata kuunda silaha za kiotomatiki.
Tahadhari iwafikie wazazi wanaopenda kupost picha za Watoto wao Mitandaoni.
Elon Musk ameonya juu ya hatari hii na amesisitiza umuhimu wa kuhakikisha kuwa maendeleo ya AI yanaendelea kwa njia inayowajibika na ya kimaadili.
Ni kweli kwamba AI ina uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko chanya katika jamii, lakini pia inaleta changamoto na madhara.
Moja ya madhara ni kwamba inaweza kutumika vibaya katika shughuli za kihalifu, kama vile kuvunja usalama wa mtandao, udanganyifu wa kifedha, au hata kuunda silaha za kiotomatiki.
Tahadhari iwafikie wazazi wanaopenda kupost picha za Watoto wao Mitandaoni.
Elon Musk ameonya juu ya hatari hii na amesisitiza umuhimu wa kuhakikisha kuwa maendeleo ya AI yanaendelea kwa njia inayowajibika na ya kimaadili. View attachment 3003755
AI imetengenezwa kwa ajili kujifunza kupitia kwenu ili huko mbeleni waje kuwatawala AI kwa kutumia akili zenu zilizokusanywa zote na mtaongozwa na maroboti,binadamu ambao uwezi kumdanganya chochote akiwa na AI.