licha ya kuwa na namba za simu,raia wengi bado wanaogopa kutoa ripoti polisi

licha ya kuwa na namba za simu,raia wengi bado wanaogopa kutoa ripoti polisi

qeentar

Member
Joined
May 20, 2011
Posts
24
Reaction score
1
hivi karibuni kuna majambazi walivamia maeneo ya home, but hakuna hata mtu aliyejitolea kuinform polisi juu ya tukio hilo na mbaya zaidi walipora mali za watu
 
dah hiyo kali!!! but mi nafikiri ni kutokuwa na elim ya kutosha juu ya ma2mizi ya no. za emergence!!!
 
nakumbuka wakati tupo watoto tulikua twasema namba 112, 11111, 11111111111, ni namba za shetani tuliamini ukipiga hizo waongea na shetani. Tuna safari ndefu sanaaa kuiunganisha jamii na polisi wawe kitu kimoja
 
Back
Top Bottom