hivi karibuni kuna majambazi walivamia maeneo ya home, but hakuna hata mtu aliyejitolea kuinform polisi juu ya tukio hilo na mbaya zaidi walipora mali za watu
nakumbuka wakati tupo watoto tulikua twasema namba 112, 11111, 11111111111, ni namba za shetani tuliamini ukipiga hizo waongea na shetani. Tuna safari ndefu sanaaa kuiunganisha jamii na polisi wawe kitu kimoja