Licha ya kwenda na Waganga wa Kienyeji 17 Nigeria, hatimaye Rivers United FC yakubali Kuuza Mechi kwa Tsh Bilioni 2 na Kesho wanafungwa

Unatapatapa sana we jamaa...Rivers hawapewi kitu na kupigwa wanapigwa.
 
Na ww wamekuweka kwenye kitengo gani?
 
Bingwa wa kubadilisha gia angani kwenye ubora wako, unaanza kutengeneza mazingira mapema umeshachungulia kwenye vibuyu vyako umeona genge lako linakwenda kugaragazwa unakuja na ugoro mwingine apa,
 
Wale Rivers hata walicheza 7 uwanjani Yanga hana uwezo wa kuwafunga Nigeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…