Licha ya vitisho, Waasi wa M23 wamegoma kusitisha mapigano leo

Licha ya vitisho, Waasi wa M23 wamegoma kusitisha mapigano leo

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Tamko hilo linakuja zikisalia saa chache kufika saa 12 jioni ya leo Nov 25, 2022, muda ambao viongozi wa eneo la Kikanda walitoa kwa Waasi hao kusitisha mapigano au wakabiliane na majeshi ya kulinda amani.

Msemaji wa M23 Canisius Munyarugerero amesema kundi hilo linapuuza maamuzi yaliyofanyika huko Angola kwa sababu hawakualikwa kujadili mzozo unaoendeea.

Hadi sasa,kundi la M23 linalishikilia eneo kubwa katika jimbo la Kivu lililopo Kaskazini mwa DR Congo huku wakitishia kuliteka jiji la Goma.

========================

The M23 rebels in the Democratic Republic of Congo have said they will not retreat from their positions after regional leaders set a 18:00 Friday local time deadline for them to cease fire and retreat or face a regional force.

Their spokesman Canisius Munyarugerero has told the BBC Great Lakes that the group is ignoring Wednesday’s decisions in the Angolan capital, Luanda, because “we were not invited to that meeting” to discuss the DR Congo conflict.

Leaders from DR Congo, Burundi, Rwanda, and the former Kenyan president Uhuru Kenyatta - who’s a mediator to the conflict - had convened in Luanda in the meeting hosted by the Angolan president.

“We M23 are not Burundians, we are not Rwandans, we are not Kenyans, not even Angolans. We are Congolese, and we are home, they are telling us to withdraw to where?” Mr Munyarugerero posed.

The M23 now occupies a big area in North Kivu province and is threatening to capture Goma, the main city in eastern Congo.

Before the war began afresh, they held positions at Sabinyo Volcano near the border with Rwanda.

The Luanda meeting decided that if M23 did not abide by the deadline, regional forces being deployed to the eastern DR Congo would enforce it.

Asked if they were ready to face a regional force, Mr Munyarugerero said: “Just know that we won’t retreat.”

BBC
 
Congo wa tume mamluki achape gun Kagame mechi ina kua imeishia hapo.
 
Njia ni moja tuu wakamate familia zao zote baba na mama zao wake na watoto zao na kuwaweka pamoja ili nao waonje machungu pengine watakuwa na adabu
 
Congo nao wapuuzi.
Wanashindwaje kuanzisha a mass warfare, yani jeshi la kitaifa toka makabila yote.
Ni kiasi cha kuraise jeshi la watu 100,000 lenye battallion kama 20.
Kila battalion ipewe majukumu ya mashambulizi na kukamata hadi Kigali.
Uwezo wa kipesa wanao.
Wanalaza damu, tumechoka kusikia toto kubwa jinga likilia lia kila siku.
 
Kwani majeshi ya umoja wa nchi za Sadc hazina ma sniper?? Ni kuwalenfa na kufyeka vichwa viongozi wao tuu
 
Wamuone Mwamba
Retired Major General Mwakibolwa Awape Madini Namna Alivyowabana M23 Chap
 
Acha wakongotane,heshima itakuja tu

Ova
 
Congo nao wanalia Lia Sana.

Hivi kwenye huo mkutano Angola Rwanda nao walishiriki?
 
Congo nao wapuuzi.
Wanashindwaje kuanzisha a mass warfare, yani jeshi la kitaifa toka makabila yote.
Ni kiasi cha kuraise jeshi la watu 100,000 lenye battallion kama 20.
Kila battalion ipewe majukumu ya mashambulizi na kukamata hadi Kigali.
Uwezo wa kipesa wanao.
Wanalaza damu, tumechoka kusikia toto kubwa jinga likilia lia kila siku.
Asilimia kubwa ya watu vijana kongo wanakata mauno...wasani tu
Na kuna nchi moja afrika mashariki inaelekea kuwa kama kongo muda si mrefu

Ova
 
Back
Top Bottom