Sawa tumefungwa.... Lakini ni kheri sie tulio fungwa lakini tunabeba mamilioni...Wanahabari wetu sijui mtaripoti vipi..!
sijui mtakuja ni ile ile 'kafa kiume'?Kandanda letu lipo mdomoni na kwenye magazeti....!huwa hatuumizi kichwa kutafuta tatizo lipo wapi?
Ukishaweka mamilioni kibindoni unatulia..!unasubiri mwakani wala hutaki kujiuliza kosa liko wapi?hapo ndipo ilipolala hoja kuu ..! Tunampataje bingwa wetu!Ligi yetu ikoje?Marefarii wako fair?Badala ya kuwajaza misifa wachezaji,timu kiujumla udhaifu uko wapi?Kwa Yanga hii 1 mpaka 5 kunahitajika marekebisho makubwa(japo wapo watakaosema kipa kaokoa penati).Sawa tumefungwa.... Lakini ni kheri sie tulio fungwa lakini tunabeba mamilioni...
Kuliko wewe unayeshinda mechi za kirafiki wala hupati hata cent.
HaaaDuh mbona hela nyingi sana wakati wameshika mkia!!
Licha ya ndoto za watani wangu Yanga SC kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kufifia, inaonekana hawata rudi bure.
Hatua ya Makundi #CAFCC atakayemaliza
4th gets $150k (327,820,968Tsh).
3rd gets $240k (524,518,709.Tsh).
Huu mkwanja ni sawa na udhamini wa Azam kwa misimu 3.
Hapa tuna la kujifunza na sisi kama Simba SC, Tunawaasa viongozi kuwa msimu ujao tunahitaji kushiriki kama sio klabu bingwa then iwe Shirikisho..... Mbwembwe na visingizio vya kijinga pale tunapo fanya ovyo kwenye Ligi vifikie ukomo msimu 2016/17.
Siyo upuuziSisi hatuhitaji sana huo mchanganuo wako wa fedha bali tunataka mafanikio ya kimpira kwa Klabu ya Yanga kwani tunachukizwa kila mara wao kuishia raundi hizi hizi za mapema. Tuache kufarijiana " kinafiki " please. Mafanikio ya Uwanjani yana heshima sana kwa Klabu na nchi kuliko hizo fedha. Yanga imefungwa period tusije tena na analysis za kipuuzi kama hizi.
Siyo upuuzi
Wamefika robo fainali kwa mara ya kwanza tangu miaka ya tisini
Na kwa mara ya kwanza kwa klabu yyte ya tanzania tangu mwaka 2003, ndio wametoka ila hawajotka hivi hvi lazima tu ackonwldge hilo
Sidhani kama kuna upuuzi hapo
Jamani, ni kuzidiana viwango tu. Hata Euro na World cup wanakuwepo wa mwisho kwenye makundi. Cha msingi ni timu zetu kupambana zijiimarishe ili viwango vyake viwe na uwezo wa kushindana na timu za nje. Kwa Simba SC ambayo kwa muda imeshindwa kabisa kupata nafasi za uwakilishi japo ni giant ktk soka la Tanzania, wanatakiwa kushughulikia changamoto hii. Naona mentality yao imekuwa ya ku-assume kwamba kwa kuwa Yanga inaelekea kushindwa kusonga mbele kwenye michuano hiyo, basi ni mbovu kuliko Simba. Ikiendelea hivyo, wataendelea kuwa watazamaji na washangiliaji wa timu za kigeni.Wanahabari wetu sijui mtaripoti vipi..!
sijui mtakuja ni ile ile 'kafa kiume'?Kandanda letu lipo mdomoni na kwenye magazeti....!huwa hatuumizi kichwa kutafuta tatizo lipo wapi?
Nakubali Simba wame wahi kufanya vizuri zaid ya Yanga lakin nasema wame toka pia kwa sababu ya kukosa uzoefu wa hatua kama hizi ki ma shindanoUkisema kuwa Yanga wamefikia mafanikio tangu 2003 halafu hapo hapo umesahau kuwa Simba ilifikia mafanikio makubwa zaidi ya hayo mwaka 1993 kidogo napatwa na wasiwasi wa aina ya uelewa na ufuatiliaji wako mzima wa masuala ya Soka hapa nchini Tanzania. Naomba kusisitize kuwa penda mno kufanya tafiti kwanza ndipo uje humu na data za uhakika. Kuna mafanikio gani ya CAF ambayo Yanga imeyafikia Simba hajayafikia? Labda rekodi ambayo Yanga imeizidi Simba ni hii ya kila mara wao kushiriki katika mashindano haya lakini hatuoni tija na mafanikio yao na badala yake wanatolewa mapema mashindanoni kila mara. Kwa hili lazima nikiri kuwa Yanga wametushinda Wana Simba na labda niwapongeze pia.
Nakubali Simba wame wahi kufanya vizuri zaid ya Yanga lakin nasema wame toka pia kwa sababu ya kukosa uzoefu wa hatua kama hizi ki ma shindano
Simba huwa wana fanya vzuri kuliko yanga waki ingia CAF, lakin hatuna budi kusema hata hapo Yanga walipo fika si mbaya
Na zawad walo ipata si haba