Licha ya Yanga kutoka Sare na Prisons lakini bado Simba wana mechi ngumu kuliko Yanga

Kagera kaliwa tayari.
 
Na KMC pia kwahyo ubingwa wako ni lazima ushinde mechi zote 8 bila sare hata 1,Ila mm ubingwa wangu kati ya hizo mechi 7 inabidi nishinde mechi 4 tu
Kati ya izo.mechi 7, omdoa mechi na 2 za mbeya city, Dodoma city, biashara Utd gme zote izo ni za away kwa yanga , sasa izo 4 zilizo bakia sasa mna mtibwa,. Coastal, Polisi Tz izi mechi zote hapa nikiangalia kwa haraka haraka labda mechimlzm jasho liwatoke maana hawa wote ni washindani wanao wania wasiporomoke daraja
 
Labda Tu Nikwambie Hapo Yanga Atashinda Izo Zote Na Shoo Inaanza Upya Kwa Dodoma Jiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…