Lifahamu Vumbi la Congo: Historia, Matumizi, Faida na Hasara zake

Ulichoongea kwel kabisa mm nlitumiaga daah ata skuinjoi tendo tena yani kichwa kinakua na ganzi ya hatari
 
Kama unatatizo la kutosimamisha usitumie mkongo
Tumia tangawizi
Vitunguu saumu
Karanga
Almond
Korosho
Ndizi mbivu
Supu ya pweza
Viwe kwenye matumizi yako ya kila sku
Mdalasini changanya na asali
 
Kama unatatizo la kutosimamisha usitumie mkongo
Tumia tangawizi
Vitunguu saumu
Karanga
Almond
Korosho
Ndizi mbivu
Supu ya pweza
Viwe kwenye matumizi yako ya kila sku
Mdalasini changanya na asali
Naunga mkono hoja
 
alikuwa vizuri kabla ya hapo, hii kitu sio nzuri
Aliikosea formula labda na alioverdose,

Kuna baadhi wanachanganya vicks na aftershave au hydrogen peroxide ili apige shoo ya KARNE,

Na HAYO NDO MADHARA YAKE , ikilala haiamki mwezi Hadi miezi 6
 
...[emoji16][emoji16]...Nahisi inakuwa Hatari ya Danger ya Hatari !![emoji16][emoji16]
 
Naam vijana leteni mambo..tupo tunafuatilia darsa la kikubwa😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…