Mbegu au miche? Kama ni mbegu usijis umbue, hardest nut on earth to crack so kuota kwake ni around 2 years ndio maana ni ngumu sana kupata miche na ukiipata cheapest 7000+ na hapa ni order mwaka 1 kabla. Ukipata grafted inaanza kuzaa after 3 years. Normal seedling 7 yearsKuna jamaa kanipatia mbegu kama sita hivi natarajia kuziotesha kesho. Naamini nitajifunza kupitia huu uzi ngoja wataalam waje.
.
Ngoje tuone mkuu, nitasubiri.Mbegu au miche? Kama ni mbegu usijis umbue, hardest nut on earth to crack so kuota kwake ni around 2 years ndio maana ni ngumu sana kupata miche na ukiipata cheapest 7000+ na hapa ni order mwaka 1 kabla. Ukipata grafted inaanza kuzaa after 3 years. Normal seedling 7 years
Ukiweza zibangue ndo upande, nachukulia experience ya milonge.Ngoje tuone mkuu, nitasubiri.
.
Mbegu au miche? Kama ni mbegu usijis umbue, hardest nut on earth to crack so kuota kwake ni around 2 years ndio maana ni ngumu sana kupata miche na ukiipata cheapest 7000+ na hapa ni order mwaka 1 kabla. Ukipata grafted inaanza kuzaa after 3 years. Normal seedling 7 years
Mkuu ligogoma, je ukifuata huo utaratibu wa kuziloweka kwa maji ya uvuguvugu na zikaota baada ya muda wa chini ya mwezi mmoja je kwa experience yako itachukua muda gani mpaka kuanza kuzaaJamaa unajua kuwafunga watu kamba wewe, zinaota chini ya mwezi mmoja tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Unachofanya unaziloweka kwenye maji ya vuguvugu kwa saa 24, maji haya yatasaidia kulainisha gamba na kupenya hadi kwenye kiini na kukishtua!
Ukipanda ndani ya wiki mbili tatu mzigo unachomoza! Miaka miwili uliona wapiii? @uliona wapiiii
Mkuu ligogoma, je ukifuata huo utaratibu wa kuziloweka kwa maji ya uvuguvugu na zikaota baada ya muda wa chini ya mwezi mmoja je kwa experience yako itachukua muda gani mpaka kuanza kuzaa
Kama ni Macadamia zimejaa Arusha, watu wanaotesha mpaka nyumbani kwaajili ya kivuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ligogoma kikieleweka nami nijuzeNaomba nifanyie connection na mtu mwenye nazo pls, nahitaji mbegu kwa sana.
Mkuu Ligogoma kikieleweka nami nijuze
Unahitaji miche mingapi?Naomba nifanyie connection na mtu mwenye nazo pls, nahitaji mbegu kwa sana.
Kwani inauzwaje mkuu Azarel?Unahitaji miche mingapi?
Elfu 2 kwa mche ambao umeshakuwa unafaa kwa kuupanda, na ni kama unachukua mingiKwani inauzwaje mkuu Azarel?
Jamaa alitaka kutudanganya. Ni kweli ni ngumu kuota lkn si mwaka mzima. Wengine tumeotesha kitalu na zimeota.Jamaa unajua kuwafunga watu kamba wewe, zinaota chini ya mwezi mmoja tu πππ
Unachofanya unaziloweka kwenye maji ya vuguvugu kwa saa 24, maji haya yatasaidia kulainisha gamba na kupenya hadi kwenye kiini na kukishtua!
Ukipanda ndani ya wiki mbili tatu mzigo unachomoza! Miaka miwili uliona wapiii? @uliona wapiiii
Hongera sana mkuu, umeotesha kama hekari ngapi na wapi??
Kiongozi,hii miche imetokana na mbegu moja kwa moja au ni grafting imefanyika?.Baada ya kupata mawazo humu na kusoma kuhusu Macadamia na kujua bei zake. Nilihamua kuingia shambani na kujaribu zao hili. Naweza kusema mwanzo ni mzuri kabisa
View attachment 1633418
Ila kuna breed mbili tofauti, kuna hii na kuna nyingine yenye majani membamba tofauti na hiyo kwny pichaBaada ya kupata mawazo humu na kusoma kuhusu Macadamia na kujua bei zake. Nilihamua kuingia shambani na kujaribu zao hili. Naweza kusema mwanzo ni mzuri kabisa
View attachment 1633418
Inawezekana. Ila hiyo nyingine siifahamuIla kuna breed mbili tofauti, kuna hii na kuna nyingine yenye majani membamba tofauti na hiyo kwny picha
Huo mche bado haujafanyiwa grafting. Napendelea kufanya grafting shambani. Hapa nasubili mwezi wa tatu mwakani kufanya grafting.Kiongozi,hii miche imetokana na mbegu moja kwa moja au ni grafting imefanyika?.
Grafting husaidia kupunguza muda wa mmea kuanza kutoa matunda, husaidia pia kupata aina na ubora ule ule wa matunda kama mti mama/original plant.
Huo mche bado haujafanyiwa grafting. Napendelea kufanya grafting shambani. Hapa nasubili mwezi wa tatu mwakani kufanya grafting.