Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Hili ni bandiko la faraja kwa wafiwa waliowapoteza Wapendwa wao, wakidhani kifo ndio mwisho wa maisha, kumbe sio. Kifo ni mwisho tuu wa mwili na uhai, lakini roho ipo, haifi na inaishi milele.
Uhai umeumbwa na kifo pia kimeumbwa. Ukizaliwa ni hakika siku yako uliondikiwa kufa, ikifika unakufa, ila kinachokufa ni mwili tuu, ambao unaoza na kugeuka mavumbi, watu wangerudi kuyafukua makaburi ya Wapendwa wao na kushuhudia nini kinatokea kwa miili baada ya kuzikwa, wengi wangeamua bora creamation.
Knowledge yetu ya maisha baada ya kifo is very limited to the ordinary life. Ukikubali kujua zaidi ya unachojua, na ukiwa tayari kujua, mwalimu atatokea na kukufunulia yale usiyoyajua kuhusu maisha baada ya kifo. Mwalimu huyo will just come from nowhere, atakupeleka kwenye 'enlightment' ya kujua deeper Into life, before life na life after life.
Siku ambayo mwalimu atakuja ni wakati tuu wewe ukiwa tayari "when the student is ready, the teacher will apear" - Linda Goodman's Star Signs.
Mimi mwenyewe, bado sijafikia kiwango cha kumpata mwalimu, lakini kwa mujibu wa maandiko ya wafuasi wa Jumuiya ya 'Rosae Crusis' Msalaba wenye uaridi linalotiririsha tone ya damu wanaamini, kuna maisha kabla ya haya na kuna maisha baada ya haya. Yaani 'life before life' na 'life after life'.
Wafuasi wa Rosae Crusis wanaitwa ma 'rosecrusians'. Hawa jamaa wanauwezo wa kufanya kila kitu, uwezo wa kuwepo mahali popote in a split of second, uwezo wa kuwa invicible na uwezo wa kutenda miujiza.
Kwenye maandiko yao, wanadai hata Jesus Christ was a rosecrusian. Kuna uwezekano hawa wahubiri wanaofanya miujiza ni marosecrusians.
Wao wanaamini kuna 'Supreme Being', call him what you may, be God, Allah, Budha, Brahma, Bahai,etc. Uli kumfikia lazima upitie mbingu 7 waziitazo Eternities. Katika safari yako, utazaliwa, utakufa, utaliwa, utakufa na kuendelea hivyo hivyo mpaka ufike kwenye the 7th Eternity.
Ukufanikiwa kuwa enlighterned, you have the control of death. Yaani unashinda kifo na unaishi milele, ila lazima ubadilishe body from time to time kwa sababu mwili unachakaa mapema.
Mwandishi Linda Goodmans kwenye kitabu chake cha 'Star Signs'
Anasema, you have the control over death na kuna watu aliwajua toka akiwa mdogo, na wanaishi mpaka kesho na umri usio hesabika.
Linda anasema, kwa vile watu huishi takriban miaka 100, ukiweza kuyashinda mauti, unafikia muda wale wote wa rika lako wanakuwa wamekufa mpaka unaona noma, its time to change body, unakubali kufa, wanazika mwili, huku in actual fact, umehama mwili uliochoka na kuchukua mwili mpya na kuishi maisha mapya mahali papya au hata pale pale kama mtu mwingine, jina jingine na mwili mwingine.
Mimi kwa kiasi fulani nakubaliana nao, tatizo ili ukubaliwe kuwa mmoja wao, lazima ukubali kula kiapo cha usiri na kufanyiwa initiations na hapo ndipo palipo nishinda nikaamua kukubali kuishi maisha haya ya kawaida na knowledge haba. Haya machache nimeyasoma kwa wizi toka vitabu vya muumini viitwavyo 'monograms'. Mambo ya 'de-javu' ni vitu vya ukweli, only vivid of life before life.
Hivyo tunapofiwa na Wapendwa wetu, tuwalilie kwa kiasi tuu kwa sababu tutawamiss, lakini let's celebrate their life kwa imani kuwa kilicho kufa ni mwili tuu, lakini roho zao zipo, na hapo msibani wapo, wanaona kila kitu, wanasikia kila kitu, na baada ya mazishi, roho hizo zinaishi milele.
Just rejoice, deaths is just a change of bodily state from life to lifeless, but the spirit lives forever, it's eternal.
Paskali
Rejea za mwandishi kuhusu after life and reincarnation

- Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
- Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
- Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
- Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
- Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?