Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salaam.
Kwangu mimi nahisi roho ikiacha mwili basi inakutana na kiza kinene na ukimya wa maisha, nafsi na roho yako itakuwepo na inaweza kufika mbali sana, mfano inaweza kufika sayari ya Pluto na kurudi ndani ya sekunde 30.
Kama una uwezo wa kukaa vizuri au kuishi vizuri hapa Duniani basi wakati ni wako ishi unavyotaka maana hakuna maisha mengine zaidi ya hapa Duniani.
Hakikisha vizazi vyako unaviachia Mali za kutosha, na wosia wa kumtukuza Mungu, Maana baada ya hapo unaenda kukutama na Giza nene na ukimya wa maisha.
Ukiwa na dhambi sana basi roho yako itatoka huku ukiumia sana na maumivu yasio na kiasi.
Ukiwa mtenda mema basi roho yako itatoka taratibu, mara nyingi utakuwa kama unajisikia kulala kumbe ndio kila kiungo cha mwili kina shutdown mpaka kiungo cha mwisho ambacho ni Ubongo.
Nayaandika haya baada ya kutafakari sana mwisho wa maisha utakuawaje..
Nawasilisha kwa sauti kuu na feeling za mpepee.