Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

Kwanini wafute, wametoa sababu

Ova
 
Deluded mind.

Huyo mtu wenu alishaondoka for good habari za huko alipo mnazijua ?

Mliwahi kufika alipo kama ni hivyo mrudisheni aje aone anavyosalitiwa kama msemavyo.?
 
Unajitahidi kuandika vitu vya kufikirika. Huyo Magufuli anawaona kwa kutumia macho yapi? Wafuasi waliomgeuka wameonyesha wazi true nature ya viongozi tulionao ktk taifa letu. Wengi wanafanya tunayoyaona siyo kwa dhamira yao bali kumfurahisha mwenye mamlaka ya uteuzi na kwa kuangalia kwanza maslahi binafsi. Kwa lugha nyingine viongozi walio wengi ni wanafiki, na ni wachache sana wanaotenda kwa thati ya mioyo yao.
 
Ndani ya mwaka mmoja ujao hakuna mtu atakaekuwa akikumbuka kwamba hiyo stand ilishawahi kuitwa hilo jina. Huwezi kulazimishia, legacy ina tabia ya kujitetea yenyewe na utokea pale kiongozi napokuwa amegusa mioyo ya watu kwa matendo mema.
 
Hata hiki kitabu cha Erick Kabendera,Magufuli anakisoma!
Hata ya kutoka kwa kitabu cha Eric Kabendera, hoja za bandiko hili bado zinasimama kwa mujibu wa maelezo ya Eric mwenyewe
View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM kuwa JPM alitenda kwa hasira,baada ya kutenda alijutia,kwa sisi Wakristo Wakatoliki ukitenda dhambi,ukaenda kuungama,dhambi zako zinaondolewa,unatakasika。

JPM siku za mwisho alitubu dhambi zake zote,akasamehewa akapata sacrament ya mwisho ya upako mtakatifu, ndipo akatwaliwa, kwa vile wakati wa mpako mtakatifu ni tayari alikuwa kitandani,then alipotwaliwa alifikia toharani kwanza ndipo akaingia mbinguni。Hivyo JPM, yuko peponi,pia anakisoma kitabu cha Eric, kama kuna uongo wowote mtu anamsingizia marehemu ambaye hawezi kujitetea,sasa hivi mtu atanyakuliwa!。
P
 
Tuulize maswali ili kujua historia za viongozi wetu.
 
Ndio maana mimi nasema niliacha kukuchukulia serious 2016.

Sijui bado kuna shida gani au kuna masharti ulipewa?

Hivi ni vitu vya kufikirika tu Magufuli alikufa ndio imeisha namna hiyo habari za mbinguni sijui motoni ni fiction tu .

Nilidhani kama nchi bila kujali vyama tungekuwa tumepata katiba mpya ndani ya miaka walau 2 tangu aondoke maana madhara makubwa sana yaliyosababishwa na uongozi wake bado tunaendelea kuyaona na ajabu huyo mama yenu pia karithi serikali ile ile na kusema watu wanatakiwa wajifunze katiba kwanza ndio mpya ije maana iliyopo hawaijui.
 
Ndio maana mimi nasema niliacha kukuchukulia serious 2016.

Sijui bado kuna shida gani au kuna masharti ulipewa?

Hivi ni vitu vya kufikirika tu Magufuli alikufa ndio imeisha namna hiyo habari za mbinguni sijui motoni ni fiction tu
Life after life na life before life na reicarnation is real!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…