Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

True said.
 
Pasco issue ya double standard ndio unaijua leo??

Walivyopotea kina Ben Saanane ,Azori Gwanda mbona hatukuona ukiomba haki itendeke??

Kina Erick Kabendera, Tito Magoti ,Theo Gyan ,Mdude Nyagali, Mzee Rugemalila ,Godbless Lema ,Joseph Mbilinyi na wengineo wengi walitendewa haki?


Uchafuzi wa box la kura last October ulikua ni aibu sana ila hukujali pesa iliyopotezwa huku mshindi akijulikana kabla ya uchaguzi na pesa za walipa kodi kupotea bila sababu...

Tundu Lissu kushambuliwa kwake mchana kweupe na kuvuliwa ubunge huku Spika akisema ni mtoro na waliopanga kumuombea wakapigwa chini achilia pesa tulizochanga Diaspora zikatokomea...

I think you should be ashamed of yourself ! Accept that you have lost your credibility and move on
 
Poti bana, ndo umeamka usingizi? Ndo umeandika vitu gani hivi.
 
As usual, Paskali anauma na kupulizia. Huku hayuko na kule hayuko. Anataka aonekane mwema kwa pande zote. Tunamwomba awe na msimamo thabiti. Hili la kuzunguka huku na huku pasipo kutoa msimamo unaoeleweka linatufanya tusikuamini kwa lolote.
 
Pascal again!
Hivi unatumiaga kilevi gani? Hebu kiache hicho kilevi kwani kinaharibu kabisa uwezo wako wa ujenzi wa hoja mahiri ulionao!
Mengi uliyoyaandika hapa huwezi kuyathibitisha popote kwani hayapo na ni unpredictable!
Double standard no! Usitake kuipangia mamlaka Nini la kufanya na wakati wa kufanya kwani Wana taratibu zao kulingana na miongozo waliyowekewa!
Hivyo acha kuziharakisha na kuzitisha mamlaka!
Sabaya kuwa scape goat no! Kwani mpaka asimamishwe kazi na kuchunguzwa zipo clues zisizoacha Shaka dhidi ya tuhuma alizo nazo. Na kutendewa vile pale mahakamani ni taratibu za kawaida kabisa za polisi na hata magereza Wana mtindo huo labda kama haijawahi kushtakiwa na kupelekwa magereza!
Nikushangae pia katika eneo Hilo na kukukumbusha kuwa hata kina Mbowe na Msigwa walichuchumalishwa kisutu na kule gerezani walivuliwa nguo na kubaki utupu kwani ndio utaratibu wa magereza na hukuwahi kuandika kusifu au kukemea kitendo hicho kinachoharibu haki na faragha ya mtuhumiwa! Napata mashaka na kujinasibu kwako kuwa nawe ni mtetezi wa haki za watu huku ukiwa upande wa sabaya kana kwamba wale wafungwa na mahabusu wengine siyo binadamu!
Unafiki wako na roho mbaya uliyonayo ambayo binafsi huwezi kuviona ndio karma yako na itakumaliza!
Nakushauri uwaombe msamaha wale wote uliowanenea na kuwachongea kwa mamlaka wakaadhibiwa pasi na kosa!
Na kama kweli roho za wafu zinaona nasi Ile roho ya yule mama Lavenders inakuona na kukuombea karma iwahi kukumaliza!
Mwisho, achana na siasa za makundi, kikanda na kikabila kwani huyo Magufuli siyo rais wa kwanza nchi hii na hakuna maajabu yoyote aliyoyafanya kuwazidi kina Nyerere!
 
Deads knows nothing, their wills and understandings has gone and completely forgotten in the world of living things
 
Dikteta Magufuli hakuwa na Tanzania yake, kuna Tanzania ya watanzania. Marehemu yuko moyoni kwa uovu alioutenda akiwa hai
 
P.
Umeandika mengi sana. Unatamani ukaende huko alikoenda ukamweleze hayo maneno!
Nadhani ungelianza na kusema/kumwambia yeye na genge lake kuwa Kambarage Nyerere huko aliko anaona jinsi anayowafanyia aliokuwa anawaita wanyonge papo hapo unashtukia anaitisha mkoba. Nipatie Million kadhaa anamtunuku mtu!!.
Za kwake??
 
Sawa, lakini msitake exceptance yoyote, kama wenzake wanaoga na kupakwa mafuta, Kwanini mtu wenu awe treated with diginity, tofauti na wenzake?!
 
Mgufuli huko alipo anagalagala kwenye ziwa la moto akilia kwa majuto makuu. Mbaya zaidi anawaona wale alio watendea mabaya hadi wakafa wakila goodtime kwa raha zao.

Lazaro maskini na Tajiri Meko
22 Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa.
23 Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake.
24 Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.
 
Hii ndiyo hasara ya kutojua maandiko ya biblia, ndiyo hasara ya kusoma misale ya waumini badala ya kusoma biblia.
WALIO HAI WANAJUA WATAKUFA, BALI WALIOKUFA HAJUI LOLOTE CHINI YA JUA WALA HAWANA IJARA TENA
Pascal soma biblia unajiabisha mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…